World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

This is STUNNING!!! 4 goals within a span of 15 minutes!? My God!!!! The 2014 dream is all over for #TeamBrazil. 5-0

Wamezoea kucheza kwenye cow shed pale Chelsick wanafahamu mpira wa kuhonga tu ... ... Oooops brown envelopes where is Oscar, Luiz et al .... .
 
Ningeamka na kukuta haya magoli si ningelia sana leo.
Yaani leo ni hatari sana huyu Dante ametumaliza kabisa.
Kocha fanya masahihisho mapema laa sivyo leo ni magoli 10
 
Yule Madam wa wacheza Samba, atakua anaumwa tumbo la kuharisha, na lile lengine, na kipanda uso.
 
lol!!!! Mie hapa nimepigwa na bumbuwazi, pamoja na kujuwa defence ya Brazil si nzuri lakini sikutegemea kabisa goli tano kabla ya half time dah!!!!!

Natangaza rasmi nimehamia German maana naona dalili ya goli 10 heri neymar atajitetea
#teamGerman here we go weweeeeeeeewee
 
Milfield ya Brazil imekufa kabisa .. sijui kwa nini high energy players kama Ramires & Willian wako benchi



Haya Ndio makosa ya Big Fill! Wamtimue tu!

Siku nyingi nilishamuona Huyu Mzee anakosea kupanga kikosi!
 
Yaani nimelia mwisho nimejikuta nacheka tu, imekuaje hapa?
Mimi hata sielewi na nimebadili channel, hivi sheria za soka zinasemaje kama kocha wa Brazil akiitoa timu, kuepuka aibu maana yatafika hata 10, hawa .......... ndio wanachukua kombe. Aaaaaaawwwwwwww
 
Yaani hii mechi daah Brazilians fight for the money you put in those WC, washeni moto
 
Back
Top Bottom