World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna kufungwa ila hii ya leo ni hatari sana sitaangalia mpira tena aisee Invisible nisamehe maana hadi ilipofikia hapa si mpira tena imekuwa basket ball
 
Last edited by a moderator:
Hata raha ya mpira imeisha kabisa...mbwembwe zote za dakika za mwanzo zimekatika ghalfa...

Bora nikalale ili nije kuhesabu magoli asubuhi!
 
Hakuna kocha aliyewahi kulibeba kombe la dunia mara mbili, na tutaendelea kusubiri miaka na miaka.
Cc Nzi, Lady Bantu
 
kama kweli soka ni mchezo wa maajabu basi brazil wachomoe hizi bao tano....
 
Milfield ya Brazil imekufa kabisa .. sijui kwa nini high energy players kama Ramires & Willian wako benchi
 
Ninachoshuhudia hapa bora nianze kushabikia maximo na mazoezi yake loyola,sijawahi kuwa humiliated hivi lol...
 
Unaendelea nayo unaangalia nini tena wakati game imeshakwisha!? Dah!!!!!!

Hamna hata haja ya kuendelea na hii gemu. FIFA wapitishe sheria timu ikishapigwa magoli matano kabla ya half time gemu inaisha papo hapo.
 
"One of the most remarkable halves of football any World Cup has seen. Germany do not look like they will score every time they attack, they invariably are."
 
Lawama zangu ni kwa kocha wa brazil..hvi aoni kama tactics zake zimeshindwa.tangu wakiwa down kwa goli mbili ilionesha kabisa nyingne nyngi zinakuja lakini afanyi chochote.
 
Back
Top Bottom