Brazil wakitaka kurudisha haya magoli basi Moyes awe kocha wa Germany
Natangaza rasmi nimehamia German maana naona dalili ya goli 10 heri neymar atajitetea
#teamGerman here we go weweeeeeeeewee
Leo bikra ime pata mbanduaji...
Hamna hata haja ya kuendelea na hii gemu. FIFA wapitishe sheria timu ikishapigwa magoli matano kabla ya half time gemu inaisha papo hapo.
dakika 30 magol matano