This is STUNNING!!! 4 goals within a span of 15 minutes!? My God!!!! The 2014 dream is all over for #TeamBrazil. 5-0
Bado goli la Ozil litakuja muda si mrefu.
Natangaza rasmi nimehamia German maana naona dalili ya goli 10 heri neymar atajitetea
#teamGerman here we go weweeeeeeeewee
Sijui nchi ya Brazil itakuwaje baada ya kipigo hiki,
Ningeamka na kukuta haya magoli si ningelia sana leo.
Yaani leo ni hatari sana huyu Dante ametumaliza kabisa.
Kocha fanya masahihisho mapema laa sivyo leo ni magoli 10
Kwa herini najipiga ban mwenyewe kwa muda wa masaa kadhaa.
Milfield ya Brazil imekufa kabisa .. sijui kwa nini high energy players kama Ramires & Willian wako benchi