World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Half time FIFA wakawapime wachezaji wote Germany.....hii ni balaa wataua hawa!
 
Uwanja uko Kimya kabisa shenzi typu! Aibu ya mwaka hata SA hawakufungwa kiasi hiki au Korea or Japan pambafu kabisa.

A big lesson do not send your players to Chelsick .... .
 
Milfield ya Brazil imekufa kabisa .. sijui kwa nini high energy players kama Ramires & Willian wako benchi

ni kweli pale lazima aaingie ramirez na william otherwise kuna magoli 11 leo
 
Hawa Germany sawa na Boko haramu. Hawana show offs.

Watu wanataka kuvunja records zao.

Watakupiga 100
 
no neymar no goal...
no thiago no defence....
**CHUMA CHA RELI PIGA HAO**
 
Jamani waulizeni ureno watawapeni ladha halisi ya Mkoloni wanaijua.
 
lol!!!! Mie hapa nimepigwa na bumbuwazi, pamoja na kujuwa defence ya Brazil si nzuri lakini sikutegemea kabisa goli tano kabla ya half time dah!!!!!

Tangu nimezaliwa na kushabikia mpira leo ndo mara ya kwanza WC timu ninayoshangilia inafungwa goli nyingi
Am very disappointed
 
Yaaani bora niende zangu ndani nikatengeneze watoto tu na my wife..yaani braZil chupi imechanika
 
lol!!!! Mie hapa nimepigwa na bumbuwazi, pamoja na kujuwa defence ya Brazil si nzuri lakini sikutegemea kabisa goli tano kabla ya half time dah!!!!!

Something is amiss with Brasil today.

Yaani sasa hivi wanacheza kutimiza wajibu tu....hata nguvu za kukimbia hawana!
 
:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4: ,Angalieni vizuri brazil wameanza kuchanganyikiwa ,data na rada zangu zinaniambia hapafungwi tena goli mpakakwenye ngwe ya pili ,kwa ufupi brazili hagusi mpira ,hivyo kaeni vizuri mtazame jamaa wanavyofundisha boli hamna kipaji wala talent mnadanganyana hapa bongo ,maana kila mtu siku hizi utamsikia ana kipaji ,wengi wa wanaosema hivi hawakuenda shule ,jamani wenye elimu na wasio na elimu ni vitu viwili tofauti ,kama kama kocha wennu nyie maburazili hakuenda kuomba msamaha wakati wa halftime basi kila mmoja atapata goli lake ! Niliwambia hayapungui chini ya manne kabla ya msaa manne mpira kuanza.
 
Respect The Boss kilo zako na nusu zichukue Heaven on Earth mama kabidhi hizo 50,000 yule nani jaman nimemsahau kabidhi tu kilo yako,ice cream yangu tu The Boss inipoze machungu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…