World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwa hiyo kukosekana kwa neymer na gustavo ndo kumezaa aibu yote hii!
 
kwa huu mchezo wa brazil bora hata timu yetu ya taifa...... goli 5 ndani ya dk 30...
 
Katavi , alishatabiri na utabiri wake niwakweli 100% tangu mashindano yaanze,
 
Last edited by a moderator:
Kuangalia mpira bila pressure kutamu kweli kweli kwetu sisi tusio na ushabiki uliopitiliza; tunatazama kadanda tu na kufurahia magoli!
 
Dah!!!! Mie wala sielewi, yaani pengo la wachezaji wawili ndiyo timu iwe midebwedo hivi!!!! Hata Ghana waligangamara na karibu wawaadhiri hawa Wajerumani, raha ya mchezo tupa kuleeeee duh!!!!!

kuna kitu nilikuwa namsikiliza junihno ansema brazil hii haina wachezaji wenye kiwango cha mmoja mmoja hivyo team work inahitajika otherwise watalia. amesema brazil ya 2002 amabpo wachezaji walikuwa na kiwango cha kipekee. pale katikati kiungo kimekufa kabisa . captain hajua nini cha kufanya na kuwapanga wenzie walipofungwa goli 2.
 
Leo ukisikia chinja la tandale limeamia brazil usishangae kabisa wenye magari na maduka wakae tayari.....
 
Hiv huyu fred anafanya nn pale mbele?


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Germany score four goals in six minutes ... ... .... thats criminal ... .
 
Brazil wafanye kama Simba ya 1995 wasirudi uwanjani baada ya mapumziko. hahahahaha, Nzi umeshapuliziwa dawa ya BugsKiller?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…