World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mimi kazi yangu leo ni kuhesabu magoli tu, sitaki kukomenti kitu.

hahahahahahah leo mie niko na mkuu mourihno tunashangilia watoto wa anjela . wanpaswa kwenda fainali na kuchukua kombe. kumbuka ujerumani imefika nusu fainali mara 4 mfululizo (2002, 2006, 2010 na 2014). Mwaka 2002 brazil alimfunga ujerumani kwenye fainali 2-0.
 
Na Ghana walijitahid sana


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Neymar anaomba mwenye contact za Juan Zunuga ampatie, ili aweze kumshukuru kwa kumwepushia hii dhahama[ aibu ] ya Karne kwa Ulimwengu wa Soka.
 
Kiama kimewakuta kesho naona wataandamana tena!
 
Watoe Dante, Fred, Oscar hawana kazi humo ndani leo nimejikuta hasira zimeondoka yaani nimecheka tuuu. A
 
Wadau sasa tuchart wana German team mpoo jukwaani? Muhudumu tafadhali let's mizinga mi 5 fasta.
 
Kuna dada wa brazil shabiki kalia kwa uchungu nimemuonea huruma tena ndo likuwa bao la 2 sijui gol la 5 alizimia kabisa.
 
Brazil bora wagons...wajukuu wa hitler waleeee


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Najiona kama natazama Arsenal na B.Munich.. Au macho yangu mabovu?

Arsenal hawajawahi kufungwa magoli haya yote na Bayern. Labda useme Arsenal na Man Utd, City, Liverpool, Chelsea. hata hivyo Brazil watavunja rekodi kipindi cha pili, watafungwa mengine 4.
 
Nilikuwa na furaha leo siku nzima, mambo yalikuwa bumbum kheee, sikujua kama Brazil wataniharibia siku kirahisi hivi.
Tena ndani ya dakika chache, aaah hii ni historia mbaya wamejiwekea, tena home kwao.
Ndio itakuwa habari ya dunia hii.
 
Asante German kwa kututawala mmefanya mengi Tanganyika asante Mara 100 sababu brazil walitufunga 5-1 na hatukujua lini tutarudisha asante baba yetu mkoloni kwa kutusaidia
 
Mpira ukielekea golini wa Brazil wanashangilia utafikiri la kusawazisha. Kumbe kitu 5-0
Hawakawii kusema ni kwasababu neymar hayupo!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…