Costa Rica wanacheza mpira wa usongo zaidi Uruguay wanacheza soka ya mbinu lakini hawajiamini baada ya kustukizwa goli tatu.Uruguay wanapaswa watulie na kuclose game hii ni rahisi,kuna watu wachache tu wa kuwazika kama Campbell,wakifanikiwa mtashangaa kitakachotokea.hawa Costa Rica wakikutana na timu iliyotulia na kumaintain mpira wake,wanapigwa kama watoto.ni kelele tu za mashabiki wake wengi hapa Brazil na mzuka wa mechi ya kwanza.hii mechi yao ya mwisho kutamba.hawatafurukuta kwa muingereza wala mtaliano..pamoja na goli zao 3 za kustukiza.