World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

_76133852_germans.jpg
 
Hii inathibitisha kwamba kumbe USA, Algeria & Ghana ni timu nzuri. Waliwadhibiti vilivyo hawa wataalamu...
 
Dah yaani hii ya leo hata watoto watakao zaliwa leo watalia sana.
Haya bana its death coming to the country
 
Nataka kulala ila usingizi umepotea kabisaaaa. Its Impossible walifanya makosa ambayo yatawaumiza milele
 
Hata kama ukifungwa basi fungwa huku unapigana kiume.....hii leo nini hiii?

Hata dalili ya goli moja hakuna!

Na Ujerumani ni kama wakitaka wanafunga dakika yoyote ile.

Shocking.
 
:A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4::A S-devil4: Tupo pamoja baada ya dakika kumi na tisa maangamizi yameanza !!
 
Warning warning,,,someone hacked our stations the match you are watching is not real


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom