World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Naona Germany wanajitahidi kuvunja ile rekodi ya 2002 walipoifunga Saudi Arabia 8-0
 
Asante sana
 

Attachments

  • 1404855351479.jpg
    1404855351479.jpg
    23.5 KB · Views: 80
Hivi Brazil wanachezea nini? Wangeweka mpira kwapani na kuingia mitini kama tulivyokuwa tunafanya utotoni.
 
Brazil wakirudisha magoli yote haya najipiga risasi pale ubungo mataa
 
Back
Top Bottom