Team Agentina wapi?
everlenk ,huyu kiumbe anatafuta wa team mess mpeni ushirikiano wangu.
leo mim tutaonana home ukishinda itabidi nikusaidie kushagilia japo nitakuwa upande wa holland.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Agentina wapi?
Tujuane mapema jamani....TeamHolland
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Arsenal itakuwa ndio klabu pekee toka Uingereza kuwa na wachezaji wengi kwenye Fainali.... Believe it or not
everlenk ,huyu kiumbe anatafuta wa team mess mpeni ushirikiano wangu.
leo mim tutaonana home ukishinda itabidi nikusaidie kushagilia japo nitakuwa upande wa holland.
Tuseme tu ukweli ujerumani hawatishi kihivyo,hata jana wala hawakucheza mpira wa nguvu kwamba ndo ukaleta mabao yale,nguvu waliyotumia kucheza na France au Ghana ingetumika jana nadhani mabao yangekuwa 90 maana kila dakika ingekuwa ni goli, Brazil jana hawakuwa teamwork kabisa beki mbovu,wakapanikii wakawa hawawezi tena ukiangalia goli la 2-5 lililovyoingia ilikuwa ni ajabu sana hata kimanzichana shule ya msingi wasingefanya hivyo.
Hahahahaha!!! Pamoja sana,mechi tamu na ngumu kuliko jana.
Angalia tu hiyo pole isije ikakurudia mwenyewe Mkuu
Katavi leo hana timu,timu itakayoshinda ndo yakeKatavi wapi leo? Heaven on Earth he is missing you! Leo team Roben,
Ukinifunga leo kesho nitakupa kibarua cha kuniamsha asubuhi nisichelewe kazini, maana sijabu usingizi ukanirudia saa
kumi asubh
Leo unaondoka unahesabu tiles za nyumba yako swahiba wangu.ngojea uone teh teh!usiweke panadol hapo mezani,weka diclofenac,strong pain killer,Van Persieeeeeee!haya anza kuimba jina hili moja,mbili..kuna looping header nyengine leo teh teh!