World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Leo De Jong alimficha messi ila Mascherano aliwaficha Robben na Van Parsie mifuko yote.
 
Hongera BAK, naona mmeminya haswaa! Hongera Argentina pamoja na kwamba mimi nilikuwa nashabikia Holland.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Usiku mwema na fainali njema wakuu,WC nzuri sana hii.congratulations Argentina na Germany Mourinho mie narudi kijijini kwetu kule Turin na Milan.world cup imekuwa chungu kweli kwangu,sina apetite na timu hata moja fainali.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom