Victoire
JF-Expert Member
- Jul 4, 2008
- 24,386
- 57,588
Bavaria wangesikitika kweli,hata yeye Roben angesikitika sanaRoben ana bahati sana yule jamaa alitaka kumvunja kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bavaria wangesikitika kweli,hata yeye Roben angesikitika sanaRoben ana bahati sana yule jamaa alitaka kumvunja kabisa
wanakosa ma goal tu hapa....
bavaria wangesikitika kweli,hata yeye roben angesikitika sana
Kidogo leo scolari anahamasisha;siku ile ya magoli saba alikuwa mpole kama nini
Huyu mtoto anamzuka na brazil wafunge mpaka anatia huruma
Jamani!! Magoli mawili bado unamfagilia?
TASWIRA ZA KESHO!
![]()
mtoto gani....
Simfagilii hata kidogo nimeelezea situation tu