Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Mkuu unatudharirisha Arsenal fans wengine, I feel so ashamed to have you as Arsenal fan-mate. Maybe umeanza kufuatilia soka juzi juzi ndo maana huna knowledge kubwa na umeshindwa kuelewa alichoongea Belo regardless ya tofauti ya ushabiki facts ni facts Holland imejengwa na chipukizi unless chipukizi ina maana tofauti kwako. I suggest kazania kupost picha tu.
Huwa sipotezi muda na mtu mjinga, kwa sababu ujinga wake huwa umejianika tayari.