Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
wewe jamaa kaka unasinzia kalale,haiwezekani unarukia watu ovyo tu
achana nae silence is the best weapon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe jamaa kaka unasinzia kalale,haiwezekani unarukia watu ovyo tu
Klose ndo kastaafu rasmi kombe la Dunia,kazi nzuri sana Klose
Jamani team Argentina wa kiume tuendelee kuyaminya makende mara Germany wanapokaribia goli letu
Wapi de Maria leo
Ka France kanacheza hako hatari!Hiv kale kachezaji kafuupi nikatim gani
achana nae silence is the best weapon
hilo shoot hata mie ningelidaka......
fata mambo yakooooo bi.Tchhh
umri au ameamua tu
Mtu anauliwa sekunde za mwisho hapaaa