World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mpira ni mchezo wa ajabu sana mwenzako akicheka jua mwingine analia.
Ingekuwa ikiwa draw twagawana kombe mbona watu tungekuwa twapata raha sasa, Argentina siipendi sababu ya mtu mmoja tu, German siipendi yote ila nimewapa sapoti sababu ya kumfunga Brazil, timu niipendayo, timu iliyoniangusha na kusababisha nisiangalie mpira
 
Dah haya bana ni ngumu sana ila ndio hivyo Brazil angekuwa anachukua hili kombe leo kama wasingefanya ule ujinga wa wiki iliyopita.
Nawapa hongera hawa wauaji ila roho inaniuma sana. Ningekuwa mchezaji wa Brazil sijui kama ningeishi

yaaani wabrazil wamefurahi sana . hawakutaka kabisa ajentina achukue hili kombe
 
Final hii tutakumbuka a Goli la Gotze na Freekick ya Messi kaangua dafu kwenye mnazi basi New Messi Gotze Leo kauwa bora WorldCup imeisha Jokes za messi sasa zitakuwa nyingi namuonea huruma.
 
Yaani Messi anakosa hata medali moja msimu huu, hakuna cha uchezaji bora wala ufungaji bora
 
hapa hadi nivute ucngiz uje ni sa kumi asubuh ningejua ningelala zangu
 
Back
Top Bottom