World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kuna mtu mmoja Ana raha sana saivi...... Ronaldo chrstiano
 
Huyu Messi alijua kuwa hatashinda maana naona hawa muda wa kulia wala kushangaa naona anapiga maji yake.
 
Ila Argentina watajilaumu sana kwa kukosa kufunga kwenye zile fursa walizozipata.

Na kwa hesabu ya haraka haraka walipata kama tatu au nne hivi
 
mwekundu mlete hapa mkeo kama ulivyoahidi, nitamgawia hata mdogo wangu maana mimi nimeoa tayari
 
Last edited by a moderator:
Nilisema kama leo kina messi wangeshinda kesho ningeanza kuimba nyimbo za kina hadija kopa.
 
Pharell...... Coz am happiiiiiiiii
ndani ya Maracanazo
 
2018 #TeamBrazil
Tuombe uhai tukutane hapa jukwaani tena tuishangilie timu yetu itutoe kimaso maso, tusijeswitch team kama leo. Kumshangilia mke wa jirani amepata mtoto wakati wewe huna mtoto yahitaji moyo sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Congratulations to James Rodriquez who has won the Golden Boot! Incredible achievement!

BsdIeHYIUAArUeF.jpg
 
Back
Top Bottom