World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Kwani Messi anavaa ADIDAS? Pamoja na pesa kufanya haya mashindano kuwa mazuri lakini pia pesa inaharibu sana. Kuna wachezaji wengine walistahili kupata hii TUZO kuliko Messi, mfano wangempa RVP au Robben pamoja na ku-dive kwake ningekubaliana na FIFA hapa wamechemsha sana. Katika mashindano haya nilijaribu kumwangalia huyu Pogba lakini sikufurahishwa naye labda in future, kuna young players waliowika kuliko Pogba kama toka Costa Rica, Colombia.

Binafsi naona messi anastahili,pale kwa pogba sijui wameangalia nini bora at a varane,sina hakika na vigezo wanavyotumia!
Robben kafanya vizuri ila kutokucheza fainali huenda kumemuangusha.zaidi ya hapo neuer alikua imara mechi zote.
 
Kwani Messi anavaa ADIDAS? Pamoja na pesa kufanya haya mashindano kuwa mazuri lakini pia pesa inaharibu sana. Kuna wachezaji wengine walistahili kupata hii TUZO kuliko Messi, mfano wangempa RVP au Robben pamoja na ku-dive kwake ningekubaliana na FIFA hapa wamechemsha sana. Katika mashindano haya nilijaribu kumwangalia huyu Pogba lakini sikufurahishwa naye labda in future, kuna young players waliowika kuliko Pogba kama toka Costa Rica, Colombia.

Akil yako n kuku na unaongea pumba tupu,hujui ulsemalo apewe RVd kwa kudive???WTF shame on yo face usjesema hvo mbele ya wacheza mpira ww,Messi kaipeleka argentina final kwanza ndo mchezaj pekee alieweza score mech zote za makundi pili ndo aliekuwa tegemeo la timu n sawa na Neymar angefika final paspo kuumia its obviosly angepewa mpira wa dhahabu...Ndio alikuwa akishindanishwa na weng bt uy ndo kipenz cha weng mwache apewe heshma yake


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Germany-v-Argentina-2014--020.jpg

But, on another occasion, Messi finds his way past his markers and causes havoc in the box. Germany escape without conceding

sport-026.jpg

These Argentina fans are growing a tad frustrated

Germanys-Hoewedes-019.jpg
Half-time: 0-0">
Just before the break, Germany's Benedikt Hoewedes crashes a header against the post ... that's the closest they've come in the first half, and arguably he should have scored. Half-time: 0-0

Argentinas-forward-Lionel-023.jpg

Early in the second half, Messi is played through on goal for what, by his standards is a glorious chasnce. he just has to beat the keeper, but he rolls his left-footed shot wide of the far post

Germany-v-Argentina-2014--025.jpg

Javier Mascherano looks livid with Thomas Mueller during an altercation

Argentinas-forward-Gonzal-024.jpg

Higuain gets absolutely clattered by Germany's goalkeeper Manuel Neuer. Neuer got the ball first but his knee gave Higuain an almighty thwack. oddly, the Argentinian was booked for the foul

Argentinas-forward-Gonzal-001.jpg

Higuain has run his race and is substituted for Argentina's forward Rodrigo Palacio. Then Miroslav Klose comes off for Germany, bringing to an end his illustrious World Cup career

Germany-v-Argentina-2014--003.jpg

At the end of 90 minutes it's still 0-0. Extra-time is on the way. Messi looks puffed

Germanys-goalkeeper-Manue-004.jpg

Argentina's Rodrigo Palacio wastes another good chance in extra-time when he lifts the ball over Neuer but wide of the far post. Are Argentina going to regret their profligacy in the end?

Germanys-Goetze-shoots-to-005.jpg

Midway through the second half of extra-time, Germany's Mario Goetze chests down the ball in the box and lashes a shot at goal ...

Germany-v-Argentina-2014--008.jpg

... which beats the keeper and crashes into the net

Germanys-Goetze-celebrate-006.jpg

Absolutely delirium for Goetze and his team-mates

Germanys-forward-Mario-Go-007.jpg

It's the 171st goal of the tournament and with it he's surely he's won the World Cup for Germany?

Argentinas-Aguero-and-Mes-009.jpg

Messi looks bereft at the restart. There may be seven minutes remaining but his body language suggests the game is over


Germanys-players-celebrat-010.jpg

The final whistle goes and Germany are victorious. They've won their fourth World Cup

Germany-v-Argentina-2014--012.jpg

Bastian Schweinsteiger is in tears as Julian Draxler comes to congratulate him

Argentinas-Lionel-Messi-013.jpg

Messi cuts a dejected and isolated figure

Final---Germany-vs-Argent-016.jpg

Up the Germans go to collect their prize

Germanys-players-lifts-th-017.jpg

Champions of the World ... yet again.
 
Mh! Kweli kila mtu na opinions zake..kacheza miaka 9 Ulaya katika timu 3 huku akifunga magoli zaidi ya 100 katika timu hizo, halafu unasema hakuwa effective?! Halafu nitajie mchezaji wa kibrasil aliyecheza Ulaya zaidi ya miaka 14! Hao ndio zao, Ulaya wanaenda kutafuta pesa, ikipatikana tu, wanarudi kucheza samba kwao...

Kwani hadi sasa hujasema mchezaji effective anakuwaje? Effective kwa vigezo vipi? Ebu nisaidie katika hili kwanza..

De Lima miaka 15.Achilia mbali mwaka au miwili aliyoshinda injured na kuna kama Rivaldo aliyekuwa na miaka 11. Effective ni yule mtu anayecheza kitimu zaidi, kwangu Dinho hakuwa mchezaji aliye effective sana ukilinganisha na Messi. Messi amefunga magoli mangapi kwa Barca hadi sasa? Jamaa amebeba Ballon D'or sijui mara 4 na inaelekea anaweza kubeba next time
 
Akil yako n kuku na unaongea pumba tupu,hujui ulsemalo apewe RVd kwa kudive???WTF shame on yo face usjesema hvo mbele ya wacheza mpira ww,Messi kaipeleka argentina final kwanza ndo mchezaj pekee alieweza score mech zote za makundi pili ndo aliekuwa tegemeo la timu n sawa na Neymar angefika final paspo kuumia its obviosly angepewa mpira wa dhahabu...Ndio alikuwa akishindanishwa na weng bt uy ndo kipenz cha weng mwache apewe heshma yake


Sent from my iPhone using JamiiForums.

Hili ndo tatizo la wabongo. Hakuna kupingana kiungwana.Mnashindwa kuwa objective. Sasa RVD ndo nani na nini? Watu mnahamaki sababu mtu anasema usichokipenda. Kwangu Messi bado hajafanya lolote pamoja na kufunga magoli katika kila mechi. Subiri utawasikia watu unaowaheshimu duniani wakipinga Messi kupewa hii TUZO hata kama Neymar angepewa pia ingekuwa controversy
 
De Lima miaka 15.Achilia mbali mwaka au miwili aliyoshinda injured na kuna kama Rivaldo aliyekuwa na miaka 11. Effective ni yule mtu anayecheza kitimu zaidi, kwangu Dinho hakuwa mchezaji aliye effective sana ukilinganisha na Messi. Messi amefunga magoli mangapi kwa Barca hadi sasa? Jamaa amebeba Ballon D'or sijui mara 4 na inaelekea anaweza kubeba next

ballb d'or huzitokei jasho...
 
Ninalo sanamu lingine hili hapa la yesu wa msalaba.
Kila nikilitizama mbavu zinaniuma kwa kicheko.
Yaani SANAMU YAKE IMETOKEA MAKALIO COPY RIGHT.

Hebu tazama wewe kama Hukucheka!

Kile kichwa cha yesu wa msalabani ndio lile tundu la nanihii!

Teh teh teh teh!

kwi kwi kwiii
 
Back
Top Bottom