Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sepp blatter you are full of shyt!![]()
huu utabiri wa Smith, an Illutionist umeniacha mdomo wazi? nahisi km kuna uchakuchuzi kwenye hii karne ya science na tecnology every thing is posibo, siamini km binadamu ana uwezo wa kutabiri perfeccly km huyu dude alivyofanya. kutabiri mfungaji na dk za kufunga goli!!!!!!!! unbeleavable
tupia link tuone mkuu
Karibia yanapasuka, toka nilivyoanza kuminya sio leo.....
Jamani ubora wangu katika utabiri upo wapi?
Hakuna kilio chochote hapa mzee!
Ukiacha mashine hizo mbili Messi & Di Maria, bado zipo mashine za maangamizi kama: Zabaleta, Rojo, Mascherano, Biglia, Aguero, Perez, Lavezzi n.k. I bet Mkolozi atalamba goal 2 bila!
Subiri German tutakavyo shinda utawaona watakavyokuja mkuu
mwekundu vipi? umeamka salama? nakukumbushia hii ahadi yetu sijui vipi nije maeneo gani au nitamkuta wapi? msaada tafadhli.Leo naahidi mke wangu ,Argentina akishindwa njoo umchukue nimeshamchoka
Ha ha ha na wewe usiwe positive
Umeona tunavyojua kutabiri?
yeah German all the way
leo nitalala vizuri kabisa walistahili hawa jamaa. Lile ni goli zuri sana
Nipo nipo mkuu , mkoloni alideserve to be crown as world champion
Kweli unazi unapofusha...Brazil walishindwa kuwika kwenye uwanja wao wa nyumbani mwaka 1950 baada ya kutandikwa na Uruguay kwenye fainali. Toka wakati huo, Brazil iliapa kuwa hawatakubali tena kufungwa mbele ya mashabiki wao na kweli kwenye mashindano ya awali ya WC2014 walionesha kwamba safari hii, baada ya miaka 64, wamepania.
Kabla hizi finali za mwaka huu hazijaanza hakuna timu iliyoonekana as highly energized, highly motivated and out to prove a point and reclaim its lost glory and get back in the pantheon of the world's greatest kama Brazil. Kama si kutandikwa na Ujerumani katika semi fainali, hakuna mtu angeweza kuidharau!
Lakini facts are facts; ukweli ni ukweli...Brazil hawakuweza kutwaa kombe hili mwaka 2006, 2010 na mwaka huu 2014, wamejikuta wanyonge mbele ya timu ambazo awali hazikupewa nafasi kubwa kama wao, sasa nabaki najiuliza kwa nini mtu awape nafasi kubwa namna hiyo mwaka 2018?
Unazi tukubali ni mbaya na unapofusha. Ni kitu gani kipya watakifanya ambacho nchi zingine haziwezi kufanya na hivyo kuwapa upendeleo wa pekee? Kwa nini wako watu hata baada ya Brazil kuvuna gunia la magoli mbele ya Wakoloni bado waliendelea kuamini itaonesha maajabu katika mchezo unaofuata?
Ndugu zangu, mapenzi ni kama wingu jeusi lililotanda mbele ya macho ya mhusika lakini kwa mtu kuwa na mapenzi kiasi hicho mbele ya timu ya wengine, hapana; si heri mimi ninayeshabikia timu yoyote ile inayoshinda! Sipati presha kwa sababu kila mechi naibuka mshindi tu...fuateni ushauri wangu huu!