World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Sepp blatter you are full of shyt!
article-2690892-1F9FAB2200000578-223_308x314.jpg


Punguza jazba mkuu, mwishowe utaandika matusi.
 
huu utabiri wa Smith, an Illutionist umeniacha mdomo wazi? nahisi km kuna uchakuchuzi kwenye hii karne ya science na tecnology every thing is posibo, siamini km binadamu ana uwezo wa kutabiri perfeccly km huyu dude alivyofanya. kutabiri mfungaji na dk za kufunga goli!!!!!!!! unbeleavable

tupia link tuone mkuu
 
tupia link tuone mkuu

mkuu natumia simu, afu sijui namna ya ku'link'. nilienda ku'google' bada ya kuona kuna mdau kwenye uzi wa photo kuweka huo utabiri wa Alan Smith.. ni kwamba jamaa alitabiri kuwa mfungaji ni Gotze na angefunga dk ya 113.... ila huo utabiri wake ulikuwa umefungwa mpk baada ya mechi ndo ukawekwa wazi, hapa kuweka utabiri kwenye boot mpk mwisho wa mechi ndo wasiwasi wangu
 
Haya mashindano kwa upande wangu yalikuwa mabaya, timu yangu ilitolewa mapema katika makundi baada ya kuambulia ushindi mechi moja. Balaa kwa hizi timu nilizokuwa nazishabikia kwa mkopo, hakuna iliyotoka salama.........poor me :angry::angry:
 
ila sikuamini italy kutoka hatua za makundi na wajerumani kwa italy huwa hawatoki basi tu.
 
Hakuna kilio chochote hapa mzee!
Ukiacha mashine hizo mbili Messi & Di Maria, bado zipo mashine za maangamizi kama: Zabaleta, Rojo, Mascherano, Biglia, Aguero, Perez, Lavezzi n.k. I bet Mkolozi atalamba goal 2 bila!

Ukiamka uje tena hapa urudie kusema haya maneno yako matamu na ya kutia faraja kwa wanafamilia yooooote ya ndugu ajentina na wafuasi wao toka kila pembe ya dunia.
 
Subiri German tutakavyo shinda utawaona watakavyokuja mkuu

Nimewaona mkuu tena mmoja wapo ni mtaalam wa kumeza pembejeo za kilimo kama vile mundu, shoka, jembe, panga nk nk ila jana alimweka rehani mkewe sasa baada ya mjeledi wa mkoloni sijui yuko tayari sasa kumkabidhi mkewe kwa wana jf wote tuliokua #team_mkoloni ? si mwingine huyu bali niiiiiiiiiiiiii mwekundu
 
Last edited by a moderator:
leo nitalala vizuri kabisa walistahili hawa jamaa. Lile ni goli zuri sana

Yaani lilikua goli la kifo, from hewani-to-gambani-to-guu la kushoto-straight-to-nyavuni hahahaaaaaaaaaaaaaaa mkoloni hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nipo nipo mkuu , mkoloni alideserve to be crown as world champion

Hakika alistahili, siyo wale branyukwa aaaaagh full mbeleko hadi wakaibahatisha nafasi ya 4, sikupenda wafike ata robo ila ndo hivyo mambo ya Sepp Blatter ndo yana nguvu kama ilivotokea eti messi kupata mchezaji bora, sawa lakin kumpoza pia namkubali hana makuu ila hakustahili ile tuzo.
 
Kweli unazi unapofusha...Brazil walishindwa kuwika kwenye uwanja wao wa nyumbani mwaka 1950 baada ya kutandikwa na Uruguay kwenye fainali. Toka wakati huo, Brazil iliapa kuwa hawatakubali tena kufungwa mbele ya mashabiki wao na kweli kwenye mashindano ya awali ya WC2014 walionesha kwamba safari hii, baada ya miaka 64, wamepania.

Hata Ujerumani hawakuwika nyumbani kwao 2006. Au waliwika?


Kabla hizi finali za mwaka huu hazijaanza hakuna timu iliyoonekana as highly energized, highly motivated and out to prove a point and reclaim its lost glory and get back in the pantheon of the world's greatest kama Brazil. Kama si kutandikwa na Ujerumani katika semi fainali, hakuna mtu angeweza kuidharau!

Kushindwa ni sehemu ya ushindani.

Lakini facts are facts; ukweli ni ukweli...Brazil hawakuweza kutwaa kombe hili mwaka 2006, 2010 na mwaka huu 2014, wamejikuta wanyonge mbele ya timu ambazo awali hazikupewa nafasi kubwa kama wao, sasa nabaki najiuliza kwa nini mtu awape nafasi kubwa namna hiyo mwaka 2018?


Hata Ujerumani haikushinda kombe la dunia mwaka 1994, 1998, 2002, 2006 (tena kwao huko huko), na 2010 licha ya kutajwa kuwa ni moja ya favorites kabla tournaments hazijaanza.

Kwa maneno mengine, ni baada ya miaka 24 ndo Ujerumani imeweza tena kushinda. It's just the cyclical nature of competitive sports.

Unazi tukubali ni mbaya na unapofusha. Ni kitu gani kipya watakifanya ambacho nchi zingine haziwezi kufanya na hivyo kuwapa upendeleo wa pekee? Kwa nini wako watu hata baada ya Brazil kuvuna gunia la magoli mbele ya Wakoloni bado waliendelea kuamini itaonesha maajabu katika mchezo unaofuata?

Ni kitu gani kipya ambacho Ujerumani wamekifanya kilichowawezesha kushinda tena baada ya ukame wa miaka 24? Ni kitu gani?

Unaongea kama vile Brasil haina blueprint ya ushindi. Niambie nchi iliyolitwaa kombe la dunia mara nyingi zaidi....nitajie, tafadhali.

Ndugu zangu, mapenzi ni kama wingu jeusi lililotanda mbele ya macho ya mhusika lakini kwa mtu kuwa na mapenzi kiasi hicho mbele ya timu ya wengine, hapana; si heri mimi ninayeshabikia timu yoyote ile inayoshinda! Sipati presha kwa sababu kila mechi naibuka mshindi tu...fuateni ushauri wangu huu!

Good for you. But just tell me, who has won the world cup more than any other country?
 
Back
Top Bottom