World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

ule mpira ulishatoka nje, Neymar mbio za sakafuni.
 
Wakuu naomba nipatiwe link ambayo naweza kuona mechi zote za kombe la dunia Brazil 2014 kwa kutumia komputa yangu,asanteni.:sad:
 
Sipati picha brazil wakitolewa katika hatua ya awali, sijui kama nchi itakalika.
 
Back
Top Bottom