Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Goli la pili muda si mrefu
1-1 Neymar
Kazi imeanza mkuuuHaya ngoja tuone ila mpaka sasa croatia wanakimbiza
Vipi tena mkuuAaaaaaaaah!!!!
Sipati picha brazil wakitolewa katika hatua ya awali, sijui kama nchi itakalika.
Eti eee ngoja tuendelee maana Neema kashafanya yakeMkuu crotia nguvu ya soda.Watakapoanzwa kupigwa hutoammini.
Wewe ndo yule kaa anayetabiriMisijali Brazil 3 Croatia 1 hayo ndio yatakuwa matokeo