World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Cameroon wanachapwa muda si mrefu afadhali hiki kipindi kiishe dadeki
 
ngoma ngumu, wakaze byoru tu cameroon wanaweza kutoka hata na sare, lakini kitu kimewaelemea!
 
Half time. Mexico wametawala kipindi cha kwanza. % kubwa mpira umechezwa na mexico. Tusubiri half ya pili
 
huyu kibendera wa leo anatia hadi raha. Ila yule beki wa mwisho wa kameruni ana akili sana amemtafutia offside giovani
 
Back
Top Bottom