ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,984
- 360
Cameroon mbona hawafungui kabisa vyumba wamepooza sana
Acha wabane uwanja tu..wakifungua sana watachoka alafu itakuwa balaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cameroon mbona hawafungui kabisa vyumba wamepooza sana
Mvua tena kubwa tu
Rong came 0 mex 1
Hivi ni macho yangu au mvua inanyesha dimbani? Au barafu?
Yangu macho..utakimbia mwenyewe
Yangu macho..utakimbia mwenyewe
ngoma ngumu, wakaze byoru tu cameroon wanaweza kutoka hata na sare, lakini kitu kimewaelemea!
So far Refa kaiokoa Cameroon
Duuuhhh hawa kamerun kama wanacheza mieleka