World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Mexico wanacheza kitimu lakini ndugu zetu Cameroon wanatumia uzoefu binafsi tuu na ndio maana kipindi cha kwanza kimeisha bila kufungwa.
Nashangazwa na makosa ya kipuuzi wanayofanya Cameroon. yaani kama ya Taifa stars.
 
c'meroon walikua zamani siku hizi hawana kitu kabisa wamekua jamvi la wageni.
 
huwajui brazil..wewe... Hivi Olic alitolewa au?
Asiewajua the Selecaos kwenye ulimwengu wa soka ni nani?
Brazil jana walikuwa very average na unless wa-improve, otherwise wakiendelea kucheza kama jana basi round of 16 itakuwa ndio mwisho wao
 
Cameroon imebakia jina tu. Ingekuwa ngozi nyeusi ndiyo tumenyimwa hayo magoli kilio chakeeeeee weeeeeeeeeeee! Tungelia ubaguzi ubaguzi leleee leeeee rangi nyeusi sijui ya bluuuu.
 
10407922_894955880520260_5961063620096351750_n.jpg

10251955_894955893853592_4940282166015841134_n.jpg

10474866_894955883853593_4087223122117991051_n.jpg

10458624_894955857186929_2173336202770087158_n.jpg

10366305_894857577196757_7150692598568441014_n.jpg
 
Asiewajua the Selecaos kwenye ulimwengu wa soka ni nani?
Brazil jana walikuwa very average na unless wa-improve, otherwise wakiendelea kucheza kama jana basi round of 16 itakuwa ndio mwisho wao

Kuna siku hapa hapa jamvini nita kukumbusha haya maneno yako....achana na brazil wewe..
 
Cameroon imebakia jina tu. Ingekuwa ngozi nyeusi ndiyo tumenyimwa hayo magoli kilio chakeeeeee weeeeeeeeeeee! Tungelia ubaguzi ubaguzi leleee leeeee rangi nyeusi sijui ya bluuuu.

wapo juu ndiyo maaana wapo huko. hizo timu unazoona zinacheza vizuri ziko wapi?
 
Mbona goalkeeper wa cameron akipiga mpira washabiki wa mexico wanazomea? Hii siyo racist? Kuna harufu ya ubaguzi hapa
 
Back
Top Bottom