mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
cameroon wanacheza kwa mazoea tu sioni ufundi wowote pale uwanjani....
Na ufundi wa Mexico hapa ni upi..sijaona hatar zozote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
cameroon wanacheza kwa mazoea tu sioni ufundi wowote pale uwanjani....
Yaan tbc1 wanatuboa
Yaan tbc1 wanatuboa
Mbona wanacheza poa tu. Mpira uko balanceNataka africa washinde lakini watashinda je kwa uchezaji huu wanaocheza?
Tukiingia kipindi cha pili tunaua mtu.
Mexico wanacheza kitimu lakini ndugu zetu Cameroon wanatumia uzoefu binafsi tuu na ndio maana kipindi cha kwanza kimeisha bila kufungwa.
Nashangazwa na makosa ya kipuuzi wanayofanya Cameroon. yaani kama ya Taifa stars.
Asiewajua the Selecaos kwenye ulimwengu wa soka ni nani?huwajui brazil..wewe... Hivi Olic alitolewa au?
Asiewajua the Selecaos kwenye ulimwengu wa soka ni nani?
Brazil jana walikuwa very average na unless wa-improve, otherwise wakiendelea kucheza kama jana basi round of 16 itakuwa ndio mwisho wao
Cameroon imebakia jina tu. Ingekuwa ngozi nyeusi ndiyo tumenyimwa hayo magoli kilio chakeeeeee weeeeeeeeeeee! Tungelia ubaguzi ubaguzi leleee leeeee rangi nyeusi sijui ya bluuuu.
Mark my words, dudeKuna siku hapa hapa jamvini nita kukumbusha haya maneno yako....achana na brazil wewe..
Kuna siku hapa hapa jamvini nita kukumbusha haya maneno yako....achana na brazil wewe..
We boya tu, sisi tunapiga hao maboya wnzako
c'meroon walikua zamani siku hizi hawana kitu kabisa wamekua jamvi la wageni.