World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

unajua mexico haijawi kuifunga timu yoyote toka afrika kombe la dunia?
 
Cameroon wamevurugwa..

Wachezaji wanacheza kwa uzoefu...Wenzao wanacheza ki-team

Mexico piga hao Cameroon 3-0
 
Nani kaona kilichomtomea mchambuzi wa mpira leo hii half time ya match ya Cameroon na Mexico ? .
 
Dah! thread imezoa wengi hii.... sasa ndo mwanzo wa mahusiano kuyumba... wanaume hawakamatiki tena... kazi zinalala, maboss watakasirika sana tu, wengine watakonda... hakuna kula team zao zitakapofungwa... wenye hasira kali watajiua... yani
 
Yanga walimsajili Jama Mba toka kameruni,Sijamuona uwanjani.
Vipi yupo benchi au?
 
Back
Top Bottom