World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

bomu litalipuka kwenye worldcup natabiri

acha kutoa povuuu

ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku

kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu
 
Wanacheza mpira wa kizee kasi ndogooo sijui kwakuwa kucha wao babu afu anaona madudu hata hasemi. Yaani nimejiuliza walifikaje fikaje hapoo. Nimeshindwa kuwatofautisha na Taifa stars yetu kwa kweli hawafai kabisaaa

hawa nadhani katika kundi lao watashika mkia
 
acha kutoa povuuu

ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku

kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu

Mimi huwa namuona huyo Thinkyyy kama tahira flani hivi..
 
Last edited by a moderator:
acha kutoa povuuu

ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku

kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu

hujambo dada masai?
 
Kamerun game ikiisha wapelekwe air pot wapande ndege warudi kwao,wamefisadi hela za wananchi bure...kuna mchezo kukataa but sio hivi watu kujituma hawataki.ningejua wala nisingewasha Tv yangu nimetumia umeme wangu bure.
 
Kocha wa Kameruni hata haongei kama mwenzake wa mexico, inaonekna karidhika na uchezaji huu.
 
roho itanitoka afrika jaman kwanini?
 
hawa nadhani katika kundi lao watashika mkia

Mkuu kuna muda kipa wao ali save mpira hata haukua mchomo mkari akalala na kulala kama ile makipa wanayopoteza muda wakiwa wanaongoza yaani nilijiuliza nikasema huyu kipa analala wakati hata goli moja hawajafunga na ndo kwanza wana hali mbaya kusema ukweli hawakuja kimashindano kabisa. Jana Croatia walionyesha upinzani na pale bila refa kufunika baadhi ya faulo Brazil alikuwa kashikwa sasa hawa yaani sijui wanaenda wapi
 
hujambo dada masai?

sijambo nawacheki watoto tshirt zimebana yaani
full mwili nyumba lakini ball halisongi damnnn

etooo naona amakuwa mbinafsi anapiga hata mpira wa katikati wakati kuna wachezaji mbelee

tuone kama watarudisha
 
Naona aliyecheza kwa moyo ni Assou-Ekotto .. wengine mh
 
Back
Top Bottom