World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Africa bado sana World Cup na tunazidi kurudi nyuma sababu ya wachezaji wetu kuiga uchezaji wa Ulaya;tumepoteza identity yetu!

Mwaka 1990's Cameroon walitisha kombe la dunia sababu wachezaji wake wengi walikuwa wanacheza ligi ya nyumbani!

Kikosi cha kwanza akina:
Jules Onana
Steven Tatawi
Emanuel Kunde
Cyril Makanaki
Ebwele
Massing
Walifika round ya pili kwa wachezaji wengi wa Tonoure Younde;timu ya nyumbani
 
One of the boring displays ever...! Wakirudi kwao President awaweke lupango tu.
 
Africa bado sana World Cup na tunazidi kurudi nyuma sababu ya wachezaji wetu kuiga uchezaji wa Ulaya;tumepoteza identity yetu!

Mwaka 1990's Cameroon walitisha kombe la dunia sababu wachezaji wake wengi walikuwa wanacheza ligi ya nyumbani!

Kikosi cha kwanza akina:
Jules Onana
Steven Tatawi
Emanuel Kunde
Cyril Makanaki
Ebwele
Massing
Walifika round ya pili kwa wachezaji wengi wa Tonoure Younde;timu ya nyumbani

Umemsahau hao itutu kigi
 
Mkuu kuna muda kipa wao ali save mpira hata haukua mchomo mkari akalala na kulala kama ile makipa wanayopoteza muda wakiwa wanaongoza yaani nilijiuliza nikasema huyu kipa analala wakati hata goli moja hawajafunga na ndo kwanza wana hali mbaya kusema ukweli hawakuja kimashindano kabisa. Jana Croatia walionyesha upinzani na pale bila refa kufunika baadhi ya faulo Brazil alikuwa kashikwa sasa hawa yaani sijui wanaenda wapi

Mkuu yule kipa alinishanga sana!sasa nikawa najiuliza anachelewesha muda akiwa na maana gani na sikupata jibu.
 
Hongera kwa kushabikia hao ambao hata robo watafika kwa shida

kwanini tutumie mate wakati wino upo? kuku wako mwenyewe kwanini umchinje kwa kumpiga jiwe? ngoja waingie uwanjani uone kama hawafiki. hehe
 
acha kutoa povuuu

ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku

kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu

kumbe dada na wewe ni mwanaume
 
love SPAIN.............................! love soft football

go spain
 
kwanini tutumie mate wakati wino upo? kuku wako mwenyewe kwanini umchinje kwa kumpiga jiwe? ngoja waingie uwanjani uone kama hawafiki. hehe
Anza kuona wanaume wa kandanda kwanza next match ndo tuongee vizuri
 
kumbe dada na wewe ni mwanaume

kwenye mpira nawaburuza wengiii wakiume

alafu pia inategemea unaongea na nani wengine wanamitazamo ya kisichana sanankama huyo

wewe spain au uholanzi?
 
Back
Top Bottom