World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

acha kutoa povuuu

ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku

kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu

Ha ha ha wanaume tuna zingatia ya brazil
 
Mkuu kuna muda kipa wao ali save mpira hata haukua mchomo mkari akalala na kulala kama ile makipa wanayopoteza muda wakiwa wanaongoza yaani nilijiuliza nikasema huyu kipa analala wakati hata goli moja hawajafunga na ndo kwanza wana hali mbaya kusema ukweli hawakuja kimashindano kabisa. Jana Croatia walionyesha upinzani na pale bila refa kufunika baadhi ya faulo Brazil alikuwa kashikwa sasa hawa yaani sijui wanaenda wapi
Wanakera sana hawa jamaa nadhani hata stars yetu ingetoa uhai kidogo.
 
Mimi hata roho haijaniuma, sbbu cameroon binafsi sikuwapa nafasi tangia walivyofuzu kwenda brazil, nawasubir black stars na Tembo wa Ivory.
 
Matatizo ya timu zako hayo tehtehteh sasa tushangilie Holland game inayokuja ngapi ngapi unaifikiria itaishia niwahi bookies.

Game inayofuata itakuwa ngumu timu yeyote inaweza kushinda, ila always wekeza kwa underdogs

Cameroon watamaliza mashindano haya bila ya point, na labda bila ya goli la kufunga
 
sijambo nawacheki watoto tshirt zimebana yaani
full mwili nyumba lakini ball halisongi damnnn

etooo naona amakuwa mbinafsi anapiga hata mpira wa katikati wakati kuna wachezaji mbelee

tuone kama watarudisha

Miili haijawasaidia....
 
game pekee ambayo Cameroon wangeweza kushinda ilikuwa ni hii ya leo.
Game zilizobaki wasitegemee hata droo.
 
Game inayofuata itakuwa ngumu timu yeyote inaweza kushinda, ila always wekeza kwa underdogs

Cameroon watamaliza mashindano haya bila ya point, na labda bila ya goli la kufunga
. Spain wakali ila De Guzman akitulia ujue Van Parsie na Robben watafurahi wing ya Holland iwe nzuri Van Parsie atikise nyavu tushawachoka Spain.
 
Back
Top Bottom