Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
acha kutoa povuuu
ushatoa post ya kinoko kule unakuja tena huku
kule umesema UMEONA TANGAZO KUWA LITALIPUKA
hapa unasema NATABIRI acha mambo ya kike wanaume tunacheki gemu
Wanakera sana hawa jamaa nadhani hata stars yetu ingetoa uhai kidogo.Mkuu kuna muda kipa wao ali save mpira hata haukua mchomo mkari akalala na kulala kama ile makipa wanayopoteza muda wakiwa wanaongoza yaani nilijiuliza nikasema huyu kipa analala wakati hata goli moja hawajafunga na ndo kwanza wana hali mbaya kusema ukweli hawakuja kimashindano kabisa. Jana Croatia walionyesha upinzani na pale bila refa kufunika baadhi ya faulo Brazil alikuwa kashikwa sasa hawa yaani sijui wanaenda wapi
Matatizo ya timu zako hayo tehtehteh sasa tushangilie Holland game inayokuja ngapi ngapi unaifikiria itaishia niwahi bookies.Haya sasa kazi imeanza , poor Cameroon
Wanakera sana hawa jamaa nadhani hata stars yetu ingetoa uhai kidogo.
Matatizo ya timu zako hayo tehtehteh sasa tushangilie Holland game inayokuja ngapi ngapi unaifikiria itaishia niwahi bookies.
sijambo nawacheki watoto tshirt zimebana yaani
full mwili nyumba lakini ball halisongi damnnn
etooo naona amakuwa mbinafsi anapiga hata mpira wa katikati wakati kuna wachezaji mbelee
tuone kama watarudisha
. Spain wakali ila De Guzman akitulia ujue Van Parsie na Robben watafurahi wing ya Holland iwe nzuri Van Parsie atikise nyavu tushawachoka Spain.Game inayofuata itakuwa ngumu timu yeyote inaweza kushinda, ila always wekeza kwa underdogs
Cameroon watamaliza mashindano haya bila ya point, na labda bila ya goli la kufunga
Ha ha ha haaah,,,,,,,leo kameruni wamenikera sana.we jifariji tu.
Miili haijawasaidia....