idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,284
- 38,364
kocha wa chile ana mzuka wa kushangilia.
Hawa Chile wakifika golini hawalembi, wanapiga pasi za kwenda kufunga goli tu, bingwa mtetezi akae vizuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kocha wa chile ana mzuka wa kushangilia.
Tayari Chile 1,Salam kwa Spain. Kuna hatari Spain asiingie hata raundi ya pili
hawa Australia watajiunga na Spain kwa kufungwa magoli mengi mechi ya kwanza. Two goals ndani ya dakika 3.
mmh..! hapa kuna netboll! chile 2!
HahahahahaAtafungwa 10 weee subir tu....chile nao moto wa kuotea mbali
hawa Australia watajiunga na Spain kwa kufungwa magoli mengi mechi ya kwanza. Two goals ndani ya dakika 3.
Timu ambazo zitafungwa magoli mengi kwenye mashindano haya ni: Spain, Australia na bila kuwasahau USA lol
Timu ambazo zitafungwa magoli mengi kwenye mashindano haya ni: Spain, Australia na bila kuwasahau USA lol
HahahahahKwa uchezaji huu Spain hawezi kufungwa na chile. Australia midebwedo Kazi kupanua tu yanaingia
Unapokaa macho usiku namna hii inapendeza unapopata utamu kama huu wanaoutoa Chile...!
Aise refa kama lupita lol
Hahahahah
refa anatokea nchi gani?