World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hawa Australia watajiunga na Spain kwa kufungwa magoli mengi mechi ya kwanza. Two goals ndani ya dakika 3.

Timu ambazo zitafungwa magoli mengi kwenye mashindano haya ni: Spain, Australia na bila kuwasahau USA lol
 
Naomba Mungu asituangushe manake team pinzani inajiandaa kumkabili kuhakikisha hafanyi mambo[/QUOTE]



Wala sina wasi wasi nao hao Team Mpinzani, kwanz huyo Team yake mambo yao yanaishia hatua ya makundi.
amini usiamini!
 
Kwa uchezaji huu Spain hawezi kufungwa na chile. Australia midebwedo Kazi kupanua tu yanaingia
 
Unapokaa macho usiku namna hii inapendeza unapopata utamu kama huu wanaoutoa Chile...!
 
Timu ambazo zitafungwa magoli mengi kwenye mashindano haya ni: Spain, Australia na bila kuwasahau USA lol

USA lazima tutamliza Ureno na kufungwa kwa mbinde na Germany na Ghana. Subiri utaona.
 
WC hii magoli yatafungwa mengi sana mpaka dikika hii yamefika 13 katika mechi 4 tu.
 
Back
Top Bottom