World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

I told you guys!Afrika sisi bado sana
dakika ya 15 sasa Ivory Coast wanajipigia mbele tu~~~
 
duh Pikipiki ya Honda hakuna kipa Kule ila hata kipa mkali Haoni ile utabiri tunaruhusiwa kubadilisha second half? Hehehe ila Tiote hapa asipopata Yellow nipeni LIFE BAN!
 
Nini tena hii? Ngoja nikalale zangu ili baada ya muda niwahi church....
 
Pazi naona huyu beki#2 wa Ivory Coast ndo Arsenal wanayemtaka?
 
duh Pikipiki ya Honda hakuna kipa Kule ila hata kipa mkali Haoni ile utabiri tunaruhusiwa kubadilisha second half? Hehehe ila Tiote hapa asipopata Yellow nipeni LIFE BAN!

Kipa hata hajaruka,mzembe kweli
 
Usitegemee maajabu hizi timu zetu za Africa
 
Back
Top Bottom