Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Pole sana, yani waafrica hakuna kitu kabisa.Bora ningelala upuuzi gani huu ?
Hakuna timu ya Africa hitakayo vuka hatua ya makundi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana, yani waafrica hakuna kitu kabisa.Bora ningelala upuuzi gani huu ?
wanauzi kweli utafikiri zile Movie za Jackie chain anapigana na ile mijitu ya kirusi au Ukraine wameshika Gun wanaokuja ovyo anawapiga na gun zao.Afu wote wanacheza mpira ulaya lakini hovyo . wabongo tunasemaga wachezaji wetu hawana miili angalia hawa wapopo na miili yao wanapelekeshwa na wajepu
Pole sana, yani waafrica hakuna kitu kabisa.
Hakuna timu ya Africa hitakayo vuka hatua ya makundi.
Wame-panic tayari.
Bantu lady hao Ivory cost lazima wafungwe si chini ya goli mbili. Wanafikiri wamekuja kunyanyua vyuma humo.Hivi vijapan vyepesi sana vitawasumbua sana Ivory Coast, wenyewe wana miili mikubw na wazito.
Bado nigeria, ghana na algeria huenda wakatutoa kimasomaso.
ni kweli mwenyezi mungu asaidie ila kwenye mpira nafikiri atapenda wanaojiituma vizuri zaidi ila pia dua nzuri kumuomba mungu muhimu.Hizi mbio za wajapan leo sijui! Ee Mungu saidia
Huyo kocha wao chizi amemuweka Drogba bench wakati biashara asubuhi, jioni mahesabu. Ona wenzetu kina Honda na Nakagawa wamechezeshwa kwanza.