Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
Kocha pimbi sana huyu
Hapo atasema anaweka akiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kocha pimbi sana huyu
Bantu lady hao Ivory cost lazima wafungwe si chini ya goli mbili. Wanafikiri wamekuja kunyanyua vyuma humo.
kweli mkuu utadhani ni Chinese moviev,nawasubiri Ghana ndo nina matumaini nao wengine ni full mabitozwanauzi kweli utafikiri zile Movie za Jackie chain anapigana na ile mijitu ya kirusi au Ukraine wameshika Gun wanaokuja ovyo anawapiga na gun zao.
Drogba hawezi kufua dafu mbele ya Honda na Marcedez Benz za wajapan.Huyo kocha wao chizi amemuweka Drogba bench wakati biashara asubuhi, jioni mahesabu. Ona wenzetu kina Honda na Nakagawa wamechezeshwa kwanza.
ni kweli mwenyezi mungu asaidie ila kwenye mpira nafikiri atapenda wanaojiituma vizuri zaidi ila pia dua nzuri kumuomba mungu muhimu.
Drogba hawezi kufua dafu mbele ya Honda na Marcedez Benz za wajapan.
Japan wanatakiwa kufunga la pili
Timu za Africa zina kera sana.
Watakuwa Wanapiga Vyuma vya Cement huku kilo 50 huku Kilo 35 unajazia upande.Yaani acha tu siye waafrika sijui! Drogba angekuwepo kwa juhudi anayofanya Yaya Toure nadhani tungecheka kidogo!!, halafu hii miili mikubwa mbona inaanguka hovyo na kukosa balans ni lishe au mazoezi duni??
kweli mkuu utadhani ni Chinese moviev,nawasubiri Ghana ndo nina matumaini nao wengine ni full mabitoz