World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

hiii game ivory coast wanauwezo wakushinda wakikaza Nana umaliziaji ni shida kidogo

Uwezo upo ila bila drogba ni kazi bure,hawa wakipiga mashuti na vichwa havilengi eneo husika
 
Hivi ni kwamba Drogba amegoma kucheza au kocha haoni umuhimu wake?
 
Navyoona hapa tuna gundu kama Greece na hata tukipata goli, litakuwa la bahati tu wala si la kiufundi. Maana wanajichezea tu hawajipangi ili mikakati ya kupata goli, wanafika goli la kina Honda kama wanapelekwa na upepo. Wamenichosha miye
 
Leo kulala saa 0600hrs east African time

Halafu maadalizi ya gem zinafuata.
 
Kweli nimeamini kabisa kwa hawa Cot bora wange ingia Misri.
 
Alafu hizi pass za kurudisha nyuma wanazocheza Cote Devour zimeshapitwa na wakati, siku hizi mpira ni mashambulizi.
 
Kweli Afrika tujitahidi tu kuweka nguvu zetu kwenye mziki na mapenzi huenda tukapata jina zaidi kuliko ktk soka.
 
Tehtehteh wamerudia kichwa alichopiga Kalou duh sijui alifikiria yeye Van Parsie na orange kit.
 
Hivi ni kwamba Drogba amegoma kucheza au kocha haoni umuhimu wake?

ni mchezaji mzuri kwenye timu zake za kulipwa, kwenye timu ya taifa huwa hajitumi ki hivyo matokeo yake anawaharibia wenzake move, anajisikia yeye ni bora sana kuliko wenzake, hata akiharibu hajali anaona hakuna anayeujua mpira kama yeye.
 
Kweli Afrika tujitahidi tu kuweka nguvu zetu kwenye mziki na mapenzi huenda tukapata jina zaidi kuliko ktk soka.

Mapenzi ukimaanisha kubamduana au? HT hapa nimeenda kumkagua wife narudi tena nimemuqcha anatweta tu..mapenZi ndo fani yetu
 
Back
Top Bottom