Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la portugal mchezaji ni mmoja tu.
Hahahahaaah,,,,,,,,ndio maana Bantu lady kaamua kujitoa mapema.Aise kama una kolestero usiangalie hii gemu ni kali mno
haya haya #team germany twende kazi
Haowengine ni wasindikizaji tuMchezaji mmoja mbona naona wako 11
Dah Ureno Wana speed kali dah ujerumani wamepoteza nafasi ya wazi Unamkumbuka Mathiass Sammer number 6 alikuwa mkali Mjerumani Yule.Jaman gemu ya leo burdaaani hahahaaa
Me mwenyewe najionea maluwe luwe tuNasubiri mechi za baadae hapa bado sijaamua niwe wapi.
Napenda game inavyo chezwa ni free game hakuna kukamiana wala nini daah wazungu wazungu tu..