World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Nasubiri mechi za baadae hapa bado sijaamua niwe wapi.
 
Ronaldo akiendekeza uchoyo itawacost.
 
Jaman gemu ya leo burdaaani hahahaaa
Dah Ureno Wana speed kali dah ujerumani wamepoteza nafasi ya wazi Unamkumbuka Mathiass Sammer number 6 alikuwa mkali Mjerumani Yule.
 
Kipa wa Ureno alitaka kuuza mechi mapema.Ila nao Portugal wamejipanga vizuri.
 
Napenda game inavyo chezwa ni free game hakuna kukamiana wala nini daah wazungu wazungu tu..
 
Back
Top Bottom