World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Tanzania kushiriki kombe la dunia mpaka tuwe wemyeji wa shindano hili

sio suala la kuombea litokee, brazil kuna wafanyakazi million hawajalipwa mishahara pesa zimetumika kwenye maandalizi, walijaribu kuandamana wakapigwa mabomu wenyewe wakatulia, brazil wasipochukua hili kombe utasikia kivumbi chake.
Tanzania tukiandaa walimu hawatalipwa mshahara miaka kadhaa.
 
"Cha Arusha" at its best!
Huyu Pepe ana mapepe kidogo

MM.jpg BB.jpg
 
Hawa wairani wakipata goli itakuwa ngumu sana kusawazisha. Nao si wabaya sana, ni tofauti na nilivyotegemea.............naijeria mipango yao sijui vipi.
 
Back
Top Bottom