andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,021
Tanzania kushiriki kombe la dunia mpaka tuwe wemyeji wa shindano hili
sio suala la kuombea litokee, brazil kuna wafanyakazi million hawajalipwa mishahara pesa zimetumika kwenye maandalizi, walijaribu kuandamana wakapigwa mabomu wenyewe wakatulia, brazil wasipochukua hili kombe utasikia kivumbi chake.
Tanzania tukiandaa walimu hawatalipwa mshahara miaka kadhaa.

