Baba Kelvin
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 788
- 139
Half tym sasa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyoona hawana namna yeyote ile isipokuwa koforce kusogea kwenye box. Sababu cross zote sio wazuri. Na marekani wanazirudisha vizuri. Nimoana jaribio la Asamoah na hili la mwisho at least yameonyesha kuwa kwa kuingia kwenye box wanaweza funga ila cross watakeshaWamarekani wote wamerudi nyuma, Ghana wanaharibu sana kwenye pass za mwisho wanamuhitaji mtu kama Boateng akacheze no10., halafu Essien na Badu wakakamate ile kiungo
Naungana na wewe mpira sio kumiliki. Mpira magori tujipe moyo ila Marekani wana kila sababu ya kushinda hii game
bado haitakuwa poa kwao kwani mbele hamna kitu..
Naona unaimba US silent A tena US......A US.......A ngoja my Blada watoke huko waje kupiga mbili.:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Mi nafikiri angalau hata Misri ingefuzu, kidogo ingeleta changamoto safari hii. Sasa tegemeo letu ni Ivory Coast hao wengine ni sindikiza tu.
Nadhani umeona sasa how they dont score where they should..
Mi nafikiri angalau hata Misri ingefuzu, kidogo ingeleta changamoto safari hii. Sasa tegemeo letu ni Ivory Coast hao wengine ni sindikiza tu.
Mtani hoi hahahahahaMi nafikiri angalau hata Misri ingefuzu, kidogo ingeleta changamoto safari hii. Sasa tegemeo letu ni Ivory Coast hao wengine ni sindikiza tu.
Mbona tunapiga hii mijitu ya vita.Ha ha haa.unapumua sasa
Wamarekani wote wamerudi nyuma, Ghana wanaharibu sana kwenye pass za mwisho wanamuhitaji mtu kama Boateng akacheze no10., halafu Essien na Badu wakakamate ile kiungo
Mbona Algeria mnawatenga jamani?