World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Goooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
 
Nilijua tu yaani huwa ni upumbavu sana kushindwa kutoa mpira eti unasubilia utoke pumbavu kabisa
 
Uafrika wetu unaendelea sijui mungu huwa hatuangalii nasisi, kwanini balaa zinakuwa kwenye timu zetu?
 
Ghana watajuta kupoteza the maximum points game hii!Was easy game kwao
 
Back
Top Bottom