Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaah,,,,,,haya mtabiri wetu.
Hivi bado mna matumaini na timu za Afrika?Kwa huu mtiti wa South Korea kwa kweli Algeria mhhhh
Wa Nigeria tulishawazoea kwenye world cup
kwa huu mwendo wako hufai kubet maana utakula hasara sana
Wednesday fifa2014 fixture's AUSTRALIA v/s NETHERLAND saa 1 jioni, SPAIN v/s CHILE saa 4 usiku, CAMEROON v/s CROATIA saa 7 usiku. Note ni masaa ya kibongo bongo.
haya mambo ya kulala saa 9 usiku na kipigo juu nishajiuzulu...
haya mambo ya kulala saa 9 usiku na kipigo juu nishajiuzulu...
miss chagga yuko wapi leo?kile kichwa cha Neymar ni goli kabisa,eti refa kalikataa kisa golikipa kadaka!amemuonea wivu kwa vile kaweka blonde kichwani.