World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Jose Pekerman amepata jumla ya kura 400,000 kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua raisi wa nchi ya Colombia pamoja na kutokuwa miongoni mwa majina ya wagombea.
Maelufu ya wapiga kura nchini humo waliamua kuaribu kura zao kwa kumchagua kocha huyo wa kikosi cha timu ya taifa ya Colombia ili kuonyesha ni jinsi gani wanamkubali,
Pekerman ambaye ni raia wa Argentina aliwafurahisha mashabiki wa soka nchini Colombia baada ya kukiongoza kikosi chake kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Ugiriki katika wiki ambayo wakazi wa nchi hiyo walikuwa kwenye mchakato wa kupiga kura za kumchagua raisi wa nchi yao.
Wacolombia zaidi ya 100,000 walivuka boda na kuingia mjini Belo Holizinte uliopo mashariki mwa nchini Brazil kushuhudia mpambano huo lakini pia kupata fursa ya kunywa pombe kwasababu sheria za Colombia zinazuia unywaji wa pombe nchini humo katika lile juma ya upigaji kura.

Like
 
Leo tena tunakesha kamakawaida. Sijui tutashinda au ndio tunakesha tu.
 
Leo team spain naomba wapigwe 3 za nguvu......

TEAMbrazil
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaa...Hawa raia ni kiboko
 
picha ya leo

BqaHhyXCYAAcdqx.jpg
 
This is Robin van Persie's grandfather Wim Ras copying the header.

BqaHqizCYAAjfAL.png
 
Kutolala ni kawaida yangu, kabla ya WC huwa nalala saa 8 usiku naamka saa 12.

Muda wa usiku naangalia series, kusoma novels na kumalizia viporo vya ofisi.

Duuuh..but its unhealthy.. jaribu kuongeza masaa ya kulala after WC

Au huna kipoozeo?
Keep doing the great job... tunapata mapicha ya hatari humu
 
Back
Top Bottom