World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Malafyale

Leo timu Cameroon inaanza kuchukua points zake zitakazoifanya isonge round ya pili

Etoo leo atakuwa hashikiki lol

Eto'o leo HACHEZI sababu anaumwa lkn hata kama asingekuwa anaumwa serikali ya Cameroon inamtuhumu kwa kuongoza mgomo wa kudai posho,kaitwa"mhaini"
 
Hawa Aussie wanatoka wazuri sana kwa kweli!Wanacheza soka maridadi mno
 
Australia 2-2 Netherlands. Robin van Persie getting the Dutch back level with a thunderous drive
 
Eto'o leo HACHEZI sababu anaumwa lkn hata kama asingekuwa anaumwa serikali ya Cameroon inamtuhumu kwa kuongoza mgomo wa kudai posho,kaitwa"mhaini"

huyu dogo simpendi kabisa anasingizia kuumwa ila kocha kaambiwa aachane naye awapange wengine. walifanya kosa kubwa kumwita tena kuchezea timu ya taifa wakati tayari alishastaafu
 
Back
Top Bottom