Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenzako wamejificha, pole yako.....
fact kila aliyechomoa katika mashindano haya mwisho wa mechi aliibuka mshindi
Malafyale
Leo timu Cameroon inaanza kuchukua points zake zitakazoifanya isonge round ya pili
Etoo leo atakuwa hashikiki lol
Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ndo world cup bwana
Eto'o leo HACHEZI sababu anaumwa lkn hata kama asingekuwa anaumwa serikali ya Cameroon inamtuhumu kwa kuongoza mgomo wa kudai posho,kaitwa"mhaini"
GOAL! Australia 2-1 Netherlands (Jedinak pen)
Hawa Aussie wanatoka wazuri sana kwa kweli!Wanacheza soka maridadi mno