Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na leo ataharibu kama siku ile.Kuumwa kwa Degea kumemuokoa Casilas leo!Angekuwa dropped kama wenzake
Sasa tuko pamoja eeeh???
kutoka kivipi?Chileee sijui kama watatoka..
mbereko fc..Kwanini watu wanaichukia Spain?
kutoka kivipi?
Hadi wewe everlenk.... nilijua niko na Bulldog tu
Siipendi #5pain asee
#teamSanchez
#teamChile vamos
Jose Pekerman amepata jumla ya kura 400,000 kwenye uchaguzi mkuu wa kumchagua raisi wa nchi ya Colombia pamoja na kutokuwa miongoni mwa majina ya wagombea.
Maelufu ya wapiga kura nchini humo waliamua kuaribu kura zao kwa kumchagua kocha huyo wa kikosi cha timu ya taifa ya Colombia ili kuonyesha ni jinsi gani wanamkubali,
Pekerman ambaye ni raia wa Argentina aliwafurahisha mashabiki wa soka nchini Colombia baada ya kukiongoza kikosi chake kupata ushindi mnono wa mabao 3-0 dhidi ya Ugiriki katika wiki ambayo wakazi wa nchi hiyo walikuwa kwenye mchakato wa kupiga kura za kumchagua raisi wa nchi yao.
Wacolombia zaidi ya 100,000 walivuka boda na kuingia mjini Belo Holizinte uliopo mashariki mwa nchini Brazil kushuhudia mpambano huo lakini pia kupata fursa ya kunywa pombe kwasababu sheria za Colombia zinazuia unywaji wa pombe nchini humo katika lile juma ya upigaji kura.
Like
I like it, nikisinzia niamshe!
labda kwataabu..Chile tunashinda leo
and more pressure on chile side..Dakika ya 10 chile 0-0 Spain gemu ni la kasi!
cristiano ronaldo is out of the world cup due to tendonisis.source bein sports.