World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

World Cup 2014, Brazil: June 12 - July 13

Huyu kocha wa Spain simuelewi kwa kweli,aliyetakiwa awe dropped ni Ramos na Diego Costa sio Pique na Xavi
 
Mi kwa utabiri wangu, kwa jinsi nilivyoona timu zote...uholanzi kombe ni la kwao safari hii..!
Unabisha?
 
Back
Top Bottom