miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Hakika Spain Wanagundu...
Kweli yani nasikia wamekosa.goli jamani tena la wazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Spain Wanagundu...
Mpira haushi tu?
Asijute sana kwa kiwango hiki hata angebaki Brazil asingepata namba.....
miss chagga si uende kuangalia unakosa burudani.
Wanachofanya Chile ni kuzuia na kufunga tuu. baasi.
kila wakiingia ndani ya 18 kazi yao ni kufunga tuu.
Tofauti na Spain.
Hakika Spain Wanagundu...
Nani kakosa goli nasikia watu wanazomea?
FACTS:
Hali ya hewa ya Brazil inawaathiri sana wachezaji wa spain kiasi cha kucheza chini ya kiwango.......
#teamspain
miss chagga si uende kuangalia unakosa burudani.
France walibeba kombe 1998,walikuwa watetezi 2002 mechi ya kwanza walipigwa na Senegal.hawakuvuka round ya kwanza